Wagombea Ubunge

Takwimu

Chanzo: NEC


  • Kwa kasi hii, itachukua uchaguzi 31 hadi idadi ya wagombea ubunge wanawake iwe sawa na idadi ya wanaume. Hii ni zaidi ya miaka 150.


Chanzo: NEC


Chanzo: NEC
  • Asilimia 9 ya wagombea ubunge wa CCM ni wanawake
  • Asilimia 6 ya wagombea ubunge wa CHADEMA ni wanawake
  • Asilimia 15 ya wagombea ubunge wa ACT-Wazalendo ni wanawake
  • Asilimia 11 ya wagombea ubunge wa CUF ni wanawake
  • Kundi lenye wagombea ubunge wengi wanawake ni vyama vingine vilivyosalia

Chanzo: NEC
  • Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Dodoma na mikoa yote ya Zanzibar ni mikoa yenye idadi kubwa ya wagombea ubunge wanawake.
  • Mikoa ya Njombe na Simiyu haina wagombea ubunge wanawake hata moja.


2.2 Uandikishaji wa Wapigakura
Chanzo: NEC
  • Karibu mikoa yote, idadi kubwa ya wapigakura walioandikishwa ni wanawake, hasa mikoa ya Simiyu (58%), Geita (58%), Katavi (57%) na Kigoma (57%).
  • Katika mkoa wa Simiyu, wanawake ni 58% ya walioandikishwa, lakini hakuna mgombea ubunge mwanamke hata mmoja.
  • Mkoa mmoja tu (Manyara) una wapigakura wengi wanaume kulika wanawake.


Angalizo: Takwimu hizi ni za walioandikishwa na NEC, na sio za ZEC.
Chanzo: NEC.
Unyanyasaji wa kijinsia wakati wa kampeni
Takwimu hizi zinatokana na ripoti za waangalizi 196, waliotuma ripoti kati ya tarehe 19 na 24 Oktoba:



  • Kuna ripoti chache tu za unyanyasaji wa kijinsia wakati wa kampeni, katika siku sita za uangalizi.

No comments:

Speak Your Mind

Powered By Blogger · Designed By Seo Blogger TemplatesPublished.. Blogger Templates