Muhtasari Na.4 ya Siku ya Uchaguzi – Election Day Brief No. 4


Taarifa hizi zinatokana na ripoti za waangalizi kwenye vituo vya kupiga kura, hadi saa moja na nusu jioni, siku ya uchaguzi. Takwimu zote ni za awali, zinaweza kubadilishwa kadri ripoti za waangalizi wengine zitakavyoingia.
These figures come from reports of observers in polling stations, collected up to 7.30pm on polling day. The data are preliminary figures, and may be subject to later changes as more observers submit reports.


Maeneo waliyopo waangalizi waliotoa ripoti
Locations of reports
Maeneo ambapo kuna ripoti za wapiga kura wasioona kutokusaidiwa kupiga kura
Areas where blind voters were not assisted to vote


Maeneo ambapo kuna ripoti za wapiga kura wenye ulemavu kutokupewa upendeleo
Areas where people with disability were not given priority in the queue


Maeneo ambapo kulikuwa na taarifa za dalili za kampeni karibu na Kituo cha Kupiga Kura
Areas where there were reported signs of campaigning close to polling stations


Maeneo ambapo kuna ripoti za upungufu wa vifaa vya kupigia kura katika vituo
Areas where there are reports of missing polling station materials


Maeneo ambapo kulikuwa na ripoti za majina ya wapigakura kukosekana katika Daftari la wapigakura vituoni
Areas where there were reports of names of people with voter cards missing from voter lists


Taarifa hizi zinatokana na ripoti za waangalizi kwenye vituo 5,770 vya kupiga kura, hadi saa moja na nusu jioni, siku ya uchaguzi. Takwimu zote ni za awali, zinaweza kubadilishwa kadri ripoti za waangalizi wengine zitakavyoingia.


These figures come from reports of observers in 5,770 polling stations, collected up to 7.30pm on polling day. The data are preliminary figures, and may be subject to later changes as more observers submit reports.














































































Wachambuzi na waangalizi wa CEMOT wanaendelea kufuatilia na kuthibitisha data hizi.

Whatsapp



Mahali
Suala
Suluhu
1.
Mafumbo Kashai Shuleni, Bukoba Mjini
  • Hakuna daftari la wapigakura
  • Limetatuliwa
2.
Shule ya Msingi Mavurunza, Kata ya Saranga, Kibamba
  • Majina yapo hakuna msimamizi
  • Karatasi zimepungua


  • Tatizo limetatuliwa
  • 3.
    Kimara Stop over, Kibamba
    • Karatasi zimepungua zimepelekwa 2,000 watu wako 6,000
    • Suluhu haijapatikana na polisi wako kwenye eneo
    • Uchanguzi umeahirishwa hadi kesho
    4.
    Mbezi Maramba 2, Kibamba
    • Masanduku ya kura hayajafika hadi mchana

    5.
    Kwembe, Kibamba
    • Baadhi ya majina hayapo kwenye daftari

    6.
    Mwongozo, Mwananyamala Kwa Kopa
    • Vifaa havijakamilika
    • Vifaa vimekamilishwa
    7.
    Temeke
    • Hakuna mihuri
    • Imepelekwa
    NB: Masuala mengi yaliyoripotiwa ni upungufu wa vifaa ambavyo maeneo mengi vimepelekwa


    Call Centre

    1. Simu zilizopokelewa toka saa 2 hadi 2 usiku ni 141
    2. Nyingi ni kuhusu fursa za kupiga simu kwenye kituo tofauti na watu walikojiandikishia pamoja na masuala yaliyoripotiwa kwenye whatsapp hususan Jimbo la Kibamba

    No comments:

    Speak Your Mind

    Powered By Blogger · Designed By Seo Blogger TemplatesPublished.. Blogger Templates