Taarifa hizi zinatokana na ripoti 3,657 kutoka kwa waangalizi 301, kati ya tarehe 25 Septemba hadi tarehe 22 Oktoba.
Maandalizi ya uchaguzi
Vikwazo kuhusu kampeni
Kwa ujumla, waangalizi hawajashuhudia vikwazo vingi vikitokea katika mikutano ya kampeni.
- Idadi ya waangalizi wanaoripoti kuwa maandalizi yanaendelea inaongezeka kadri siku ya uchaguzi inavyokaribia
- Sehemu nyingi, maandalizi haya yameanza kuonekana, ingawa bado kuna karibia robo ya waangalizi hawajaona maandalizi haya.
- Asilimia 55% ya waangalizi wameripoti kushuhudia orodha za wapigakura kubandikwa vituoni
- Asilimia 55% wameshuhudia vyama kupewa taarifa za vituo vya kupiga kura
- Asilimia 58% wameona tangazo rasmi la uchaguzi
Vikwazo kuhusu kampeni
Kwa ujumla, waangalizi hawajashuhudia vikwazo vingi vikitokea katika mikutano ya kampeni.
No comments: