Tambo za Kusafishiwa Barabara na Kutandikwa Kanga


Na Dr. Amb. Ahmed Kiwanuka
Kumsafishia barabara mgombea mwenza wa CCM Mama Samia Sululu huko Chato mkoani Geita, kwanza ni kama jibu kwa matukio ya Musoma na Tarime, ambako mgombea Urais wa CHADEMAEdward Lowassa alifanyiwa matendo hayo.


Kwa wote wawili, huo ni ushahidi wa kitu zaidi ya mapenzi, ni Mahaba! Hata hivyo, suala la msingi linabaki pale pale je, hali hiyo itatafsiriwa kwa kuwapigia kura wagombea? Katika uchaguzi haitoshi tu kusafishiwa barabara na kutandikiwa kanga, wananchi wanatakiwa kuelewa sera za wagombea.

No comments:

Speak Your Mind

Powered By Blogger · Designed By Seo Blogger TemplatesPublished.. Blogger Templates