Takwimu
Chanzo: NEC
Chanzo: NEC
Chanzo: NEC
- Asilimia 9 ya wagombea ubunge wa CCM ni wanawake
- Asilimia 6 ya wagombea ubunge wa CHADEMA ni wanawake
- Asilimia 15 ya wagombea ubunge wa ACT-Wazalendo ni wanawake
- Asilimia 11 ya wagombea ubunge wa CUF ni wanawake
- Kundi lenye wagombea ubunge wengi wanawake ni vyama vingine vilivyosalia
Chanzo: NEC
- Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Dodoma na mikoa yote ya Zanzibar ni mikoa yenye idadi kubwa ya wagombea ubunge wanawake.
- Mikoa ya Njombe na Simiyu haina wagombea ubunge wanawake hata moja.
2.2 Uandikishaji wa Wapigakura
Chanzo: NEC
- Karibu mikoa yote, idadi kubwa ya wapigakura walioandikishwa ni wanawake, hasa mikoa ya Simiyu (58%), Geita (58%), Katavi (57%) na Kigoma (57%).
- Katika mkoa wa Simiyu, wanawake ni 58% ya walioandikishwa, lakini hakuna mgombea ubunge mwanamke hata mmoja.
- Mkoa mmoja tu (Manyara) una wapigakura wengi wanaume kulika wanawake.
Angalizo: Takwimu hizi ni za walioandikishwa na NEC, na sio za ZEC.
Chanzo: NEC.
Unyanyasaji wa kijinsia wakati wa kampeni
Takwimu hizi zinatokana na ripoti za waangalizi 196, waliotuma ripoti kati ya tarehe 19 na 24 Oktoba:
- Kuna ripoti chache tu za unyanyasaji wa kijinsia wakati wa kampeni, katika siku sita za uangalizi.
No comments: