Ushiriki wa wanawake na vijana
Chanzo: NEC
- Kwa kasi hii, itachukua uchaguzi 31 hadi idadi ya wagombea ubunge wanawake iwe sawa na idadi ya wanaume. Hii ni zaidi ya miaka 150.
- Asilimia 9 ya wagombea ubunge wa CCM ni wanawake
- Asilimia 6 ya wagombea ubunge wa CHADEMA ni wanawake
- Asilimia 15 ya wagombea ubunge wa ACT-Wazalendo ni wanawake
- Asilimia 11 ya wagombea ubunge wa CUF ni wanawake
- Kundi lenye wagombea ubunge wengi wanawake ni vyama vingine vilivyosalia
- Zaidi ya nusu ya walioandikishwa na NEC ni vijana chini ya miaka 35
No comments: